BODI YA MTETEZI WA MAMA MBEYA YAFIKA WILAYA YA MBARALI KUIMARISHA UONGOZI TAASISI MASHINA, TAWI KATA.

Mbarali, Mbeya

Bodi ya Mtetezi wa Mama Mkoa wa Mbeya imeendelea na zoezi lake la kuimarisha safu za Uongozi kwa Kila mitaa na kata Kwa Mkoa mzima wa Mbeya. Na zoezi hilo lenye lengo la kutafuta Wananchi wazalendo bila kujali itikadi zao za vyama vya Siasa Dini, ukanda ama ukabila agenda ni kumuongezea Kura za kutosha Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. 

Nae Mwenyekiti wa Bodi Mkoa Ndg. Ibrahim Shermuhamed Mwakabwanga amelezea dira na dhamira ya Mtetezi wa Mama Kwa Mkoa wa Mbeya. Kwa Kila Mtetezi wa Mama ni lazima awe na shughuli za kufanya Ili aweze kujikwamua kiuchumi hasa akiwa katika majukumu yake ya kumtangaza Mhe. Rasi juu ya maendeleo yanayo patikana kupitia serikali yake ya awamu ya sita, kwani Kila mtaa na Kijiji Kuna Maafisa wa serikali wanao toa huduma mbalimbali, Kila Kijiji na kata Kuna vituo vya afya na zahanati, sasa Kila wilaya Mama Samia kajenga Vyuo vya Veta ikiwepo na Wilaya ya Mbarali.

Katika picha ni Viongozi ngazi ya Kata na Wilaya walio pokea ugeni kutoka Mkoa Bodi ya Mtetezi wa Mama

Mwenyekiti wa kata Kitwana Ndelele, katibu Christopher Loga, Mwenyekiti wilaya Marium Wakuganda, Hamasa Yohana Lukasi Kilawa. Katibu wa Bodi Mkoa Asajile Mwankina, Katibu Mtetezi Mkoa Daudi Yilanga, Katibu uhamasishaji Mkoa Sharifa Mwalukuta

*Mama anatosha tumaini la Watanzania wote*📌

Mkoa wa Mbeya hakuna kilicho simama kazi zinaendelea.

Na Wamzi Hassan

Comments

Popular posts from this blog

DKT. TULIA ALIVYO WEZESHA MASOMO KWA VIJANA WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU MBEYA, SONGWE NA RUVUMA.

RAIS WA IPU MH. DKT. TULIA NA RAIS WA HUNGARY WAJADILI HALI YA AMANI DUNIANI

TK MOVEMENT YAZINDULIWA DODOMA MEI 25,2024, WAZIRI NDEJEMBI AWAAGIZA WATENDAJI KUTOA USHIRIKIANO KWA VIJANA