IJUE BONGO PROPS AND LOCATIONS
BONGO PROPS AND LOCATIONS ni kampuni inayojihusisha na urahisishwaji wa kupatikana kwa Vifaa husika na maeneo husika kulingana na maudhui(Stori) ya mwandishi wa Filamu/muziki. Ni kampuni iliyo chini ya Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Ndg: Domos Jogoo, ambayo imetambulishwa siku chache zilizopita lakini ikionekana kutumiwa na kuaminiwa na Wasanii wengi sana.
BONGO PROPS AND LOCATIONS 1inakupa urahisi wa kupata vifaa kama; ●Mavazi ya Kale ●Mavazi ya Vijini ●Mavazi ya Mjini ●Sare za Jeshi ●Vifaa vya maofisini ●Vifaa vya kale nk. Pia
BONGO PROPS AND LOCATIONS ikurahisishia kupata maeneo kama; ●Vijiji vya kale ●Nyumba za Kisasa ●Misitu minene ●Maeneo ya Jangwa ●Visima vya pori nk
Wamefanikiwa pia nguwa na vazi lao la kuwatambua ambapo huvaa T-shirts/PullOvers zimeandikwa (BPL)
Tembelea kwenye kurasa zote za kijamii kisha wasiliana nao ( @domos_jogoo) ( Bongo Props and Location)
Comments
Post a Comment